Lyrics
Kama ningelive life bila wewe karibu
Siku zingekuwa empty
Usiku ungekaa mrefu sana
Na wewe naona forever, wazi wazi
Nilikuwa in love kitambo
Lakini haijawai kuwa hivi strong
Ndoto zetu ni young na tunajua
Zitatupeleka mahali tunataka
Ni-hold sasa, ni-touch sasa
Sitaki kuishi bila wewe
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Kitu moja uko sure nayo
Sitawai omba more than your love
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Dunia inaweza badilika maisha yangu yote
Lakini hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Kama barabara mbele si rahisi
Love yetu itatuongoza
Kama guiding star
Nitakuwa hapo kwako ukiwa unahitaji
Huna haja kubadilika kitu
Nakupenda vile ulivyo
Njoo na mimi tushay-eh view
Nitakusaidia kuona forever pia
Ni-hold sasa, ni-touch sasa
Sitaki kuishi bila wewe
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Kitu moja uko sure nayo
Sitawai omba more than your love
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Dunia inaweza badilika maisha yangu yote
Lakini hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Kitu moja uko sure nayo
Sitawai omba more than your love
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Dunia inaweza badilika maisha yangu yote
Lakini hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Kitu moja uko sure nayo
Sitawai omba more than your love
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda (hakuna kitu kinaweza 'change')
Dunia inaweza badilika maisha yangu yote
Lakini hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda
Kitu moja uko sure nayo
Sitawai omba more than your love
Hakuna kitu kinaweza 'change love' yetu
Unajua sasa vile nakupenda